MKURUGENZI MKUU WA TCRA PROFFESA JOHN NKOMA AKITOA TAMKO KUHUSU STAR TV KUJITOA KWENYE STAR TIMES.
TCRA imeagiza chanel ya star TV irudishwa haraka iwezekanavyo kwenye kingamuzi cha star Times kabla ya kufika leo jioni.
hali ya kutooonekana kwa star tv katika kingamuzi cha star times kimefuatia kuwa ni ugomvi baina ya star tv na star times.
Star times na star tv wameelezwa kuwa wote wamevunja sheria ya mawasiliano ya kielectronic( digital) na posta na ya 32010 na kanunu zake na kutakuwa na kujitete juni 17 mwaka 2013
Agizo la kurudishwa kwa chanel ya star tv linatakiwa kutekelezwa haraka ili kuhakikisha wananchi wanapata haki yao ya kupata habari.
na onyo kali limetolewa kwa vituo hiyo vya star times na star tv kuacha tabia ya kujiamulia mambo na wahakikishe wanamtaarifu mdhibit kabla ya kuchukua uamuzi wowote ule.
No comments:
Post a Comment