Thursday, June 20, 2013

New Release K Doo toka Watengwa ft Chaba

TUNAKUJAZA UPEPO - K DOO FT CHABA.JPG
Huyu ni kijana mpya kabisa toka pande za Watengwa ndani ya Arusha, hii ni debute single yake ikiwa kama utambulisho rasmi wa kijana K Doo hapa akiwa ameshirikiana na baba mkubwa Chaba ambaye kwa namna moja ama nyingine amejitolea kwenda bega kwa bega na KDoo katika safari yake ya muziki,ngoma inaitwa Tunakujaza Upepo/Usibonge mkono wa John Blass(John B) toka pande za Grandmaster Records

No comments:

Post a Comment