Sunday, September 8, 2013

KILI MUSIC TOUR 2013 NDANI YA UWANJA WA TAIFA WA KAHAMA


Shangwe kwa kwenda mbele kwa wakazi wa mji wa Kahama waliofurika kwa wingi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Kahama hivi sasa.
DJ Kim akifanya yake ndani ya Uwanja wa Taifa wa Kahama jioni hii wakati wa Tamasha la Kili Music Tour 2013 "Kikwetu Kwetu".
Wakazi wa Kahama hawataki kupitwa na Tamasha la Kili Music Tour 2013,kwani waitika wito kwa Wingi wa ajabu.
Wadau wakiwakilisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Kahama jioni jana.
Nyomi la kufa mtu ndani ya Uwanja wa Taifa hivi sasa,hakuna hata kwa kupitisha mguu.
Wadau Back Stage,
 Kinadada wa Kahama wakionyesha umahiri wao wa kulizungusha nyonga.
 Huku Zembwela na Huku Abdallah Ambua,

No comments:

Post a Comment