Wednesday, December 4, 2013

Mkora - Joni Woka & Ras Lion

Baada ya ukimya wa muda mrefu sana sasa Joni Woka na Ras Lion Warudi tena,,,round hii waja na ngoma yao mpya inaitwa Mkora,tunawashukuru sana wote wanaoendelea kutusupport kutoka kipindi kile cha sofia na bitozi mpaka leo,tumepanga mengi sana kwaajili ya mashabiki wetu,tumeona tuanzie hapa
Sikiliza/Download mkora hapa: http://mdundo.com/dl/7629

Credits
Song;Mkora
Artists;Watukutu(Joni Woka&Ras Lion)
Produced by John B for Grandmaster Records

John Blass Mallya (John B)
For, 
    Grandmaster Records, Cannibal Shattah & Makini Music

    +255787276352+255754201643+255715201643, +254729990851
www.fresh120media.com
www.prezzomusic.com 


No comments:

Post a Comment