Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan
Mwinyi,alipohudhuria katika Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi
Siti Binti Saad,katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel jana,ikiwa ni
miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya mapinduzi Ya zanzibar
(katikati) Bibi Nasra Mohamed Halal Mwenyekiti wa Taasisi.
Watoto
wakiimba nyimbo mbali mbali za michezo ya kizamani ikiwemo nyimbo ya
ukuti,wakati wa Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti
Saad,ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,katika shamra
shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Wazanzibari
wanaoishi nje ya nchi ni miongoni mwa Wananchi waliohuduria katika
uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika ukumbi
wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,taasisi hiyo
iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar.
Wananchi
waliohuduria katika uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti
Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja
jana, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake ikiwa ni sehemu ya
shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Wananchi
kutoka mitaa mbali mbali ya Mji wa Unguja walihuduria katika uzinduzi
wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika ukumbi wa
Salama Hall Bwawani Hotel (pichani) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa
akihutubia jana, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,(kushoto)
akiwa mlezi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad akifuatiwa
na Mwenyekiti wake Bibi Nasra Mohamed Halal, wengine kulia Makamo wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa
Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk,wakiwa katika
Uzinduzi wa Taasisi hiyo iliyozinduliwa jana katika ukumbi wa Salama
Hall Bwawani Hote, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar.
Prof
Laura Fair, aliyefanya utafiti na kutunga kitabu cha wa mwanaharakati
Bibi Siti Binti Saad,akizindua kitabu hicho wakati wa uzinduzi wa
Taasisi ya mwanaharakati huyo iliofanya jana na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shei,(hayupopichani)
katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel mjini Unguja,ikiwa ni sehemu
ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Historia
ya Harakati za wanawake iliyotolewa na Dk.Amina Ameir,mbele ya mgeni
rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti
Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja
jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na kumpongeza Dk.Amina Ameir,baada ya kutoa Historia
ya Harakati za wanawake katika uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi
Siti Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini
Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,pamoja na Viongozi wengine wakiangalia picha ya Bibi Siti Binti
Saad,iliyokuwa ikipigwa mnada katika uzinduzi wa Taasisi ya
Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani
Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saa,Bibi Nasra Mohamed
Hilal,alipomkaribisha mlezi wa taasisi hiyo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,kuzungumza machache ili nae
amkaribishe mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kutoa hutuba yake na kuizindua rasmi
katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni
sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimshukuru Muharami Mohamed,Kitukuu cha Bibi Siti Bnti Saad,baada
ya kumpa zawadi ya kofia aliyoivaa,wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya
Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani
Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan
Mwinyi,(akiyesimama) akiwa mlezi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti
Binti Saad,akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuizindua taasisi hiyo katika ukumbi wa
Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra
shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Viongozi na wananchi wakati alipozindua Taasisi ya
Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani
Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisoma maandishi yanayosomeka "TAASISI YA MWANAHARAKATI BIBI:
SITI BINTI SAAD"mara baada ya kufanya izinduzi wa Taasisi hiyo jana
katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja, ikiwa ni
sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimakabidhi Picha ya Bibi Siti Binti Saad,Nasib Amour,kwa niaba
ya Zanlink,ambayo ilyonadishwa na kufikia bei ya Tsh Laki Tano,pia
zanlink itawaunganishia Mtandao wa Internet kwa mwaka mmoja,wenye
gharama ya Dola Elfu moja na Nusu,wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya
Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani
Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimakabidhi Picha ya Bibi Siti Binti Saad,Mbunge wa Jimbo la
Mpendae Salum Turky,aliyoinunua kwa mnada kwa bei ya Tsh Millioni Moja,
wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad
katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni
sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimakabidhi Picha ya Bibi Siti Binti Saad,Prof Martin
Mhando,mwanakamati katika taasisi, iliyonadihswa kwa bei ya Tsh laki
mbili na Hamsini Elfu,wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati
Bibi Siti Binti Saad katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini
Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar.
Kikundi
cha Taarab asilia cha Rahatu zamani,kikitoa burudani yao wakati wa
uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bnti Saad,katika ukumbi
wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra
shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,(pichani) Muharami
Mohamed,kitukuu akiimba moja ya nyimbo za Marehemu Bibi Siti Binti Saad.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(katikati) akiwa katika picha ya pamoja iliyowajumuisha Viongozi
wakuu wa Serikali na wasanii wa Kikundi cha Taarab asilia cha Rahatu
zamani,wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bnti
Saad,katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa
ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(katikati) akiwa katika picha ya pamoja iliyowajumuisha Viongozi
wakuu wa Serikali na wana kamati wa uzinduzi wa Taasisi ya
Mwanaharakati Bibi Siti Bnti Saad,katika ukumbi wa Salama Hall Bwawani
Hotel Mjini Unguja jana,ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment