Tuesday, January 21, 2014

Shirika la Posta laadhimisha Siku ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU) jijini Dar es Salaam

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masuala ya Kimataifa wa TPC, Elia Madulesi, akiteta jambo na baadhi ya Wakurugenzi wa Idara za shirika hilo, wakati wa maadhimisho ya 34 ya Siku ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Makao Makuu ya Shirika hilo, Dar es Salaam juzi. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Wilfredy Miigo, akizungumza wakati wa hafla hiyo juzi.
Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Wilfredy Miigo, akizungumza wakati wa hafla hiyo juzi.
 
 
 
 Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Wilfredy Miigo, akifafanua jambo wakati wa hafla hiyo juzi. 
 
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masuala ya Kimataifa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi, akizungumza wakati wa maadhimisho hayo jijini leo. Katikati ni Kaimu Meneja Mkuu Undeshaji wa Shirika hilo, Fadya Zam.
 Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika hafla hiyo.
  Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika hafla hiyo, wakichukua habari za hafla hiyo.
Kaimu Meneja Mkuu Undeshaji wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fadya Zam akizungumza wakati wa maadhimisho ya 34 ya Siku ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Makao Makuu ya Shirika hilo, Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masuala ya Kimataifa wa TPC, Elia Madulesi na kulia ni Kaimu Meneja Mipango wa TPC, Nehemiah Kyabalasi.
Kaimu Meneja Mkuu Undeshaji wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fadya Zam akizungumza wakati wa maadhimisho ya 34 ya Siku ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Makao Makuu ya Shirika hilo, Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masuala ya Kimataifa wa TPC, Elia Madulesi.
Kaimu Meneja Mkuu Undeshaji wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fadya Zam akizungumza wakati wa maadhimisho hayo ya 34 ya Siku ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Makao Makuu ya Shirika hilo, Dar es Salaam juzi.
 Kaimu Meneja Mkuu Undeshaji wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fadya Zam akizungumza wakati wa hfla hiyo.
Kaimu Meneja Mkuu Undeshaji wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fadya Zam akifafanua jambo wakati akizungumza katika maadhimisho hayo ya 34 ya Siku ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Makao Makuu ya Shirika hilo, Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masuala ya Kimataifa wa TPC, Elia Madulesi.
 Baadhi ya Maofisa wa TTA, wakiwa katika maadhimisho hayo.
Kaimu Meneja Mipango wa TPC, Nehemiah Kyabalasi, akifafanua jambo kuhusu Umoja huo, barani Afrika. Katikati ni Kaimu Meneja Mkuu Undeshaji wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fadya Zam na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masuala ya Kimataifa wa TPC, Elia Madulesi.
Kaimu Meneja Mipango wa TPC, Nehemiah Kyabalasi, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu Umoja huo, barani Afrika. Katikati ni Kaimu Meneja Mkuu Undeshaji wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fadya Zam na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masuala ya Kimataifa wa TPC, Elia Madulesi.
Kaimu Meneja Mipango wa TPC, Nehemiah Kyabalasi, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa  maadhimisho hayo. Katikati ni Kaimu Meneja Mkuu Undeshaji wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fadya Zam na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masuala ya Kimataifa wa TPC, Elia Madulesi.
 
 
Kaimu Meneja Mipango wa TPC, Nehemiah Kyabalasi, akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu Umoja huo, barani Afrika. Kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Undeshaji wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fadya Zam.
 Baadhi ya Wakurugenzi wakielezea majukumu ya Umoja huo.
 
 
 
Kaimu Meneja Mkuu Undeshaji wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fadya Zam akizungumza wakati wa maadhimisho ya 34 ya Siku ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Makao Makuu ya Shirika hilo, Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masuala ya Kimataifa wa TPC, Elia Madulesi.

No comments:

Post a Comment