Wednesday, January 22, 2014

AJALI YATOKEA MBALIZI MBEYA, MAGARI ZAIDI YA MATANO YAGONGWA.




 Magari yakiwa yamegongwa Mbalizi Mbeya

Watu mbalimbali wakiwa wanashangaa ajali hiyo iliyosababisha Gari moja kugonga magari mengine zaidi ya matano
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ajali hiyo


Watu wakiwa wanaongezeka kushuhudia ajali hiyo





PICHA NA MBEYA YETU BLOG

No comments:

Post a Comment