HIVI NDIVYO FEDHA FEKI ZILIVYOCHANWA CHANWA NJIA PANDA
Kama ulikuwa makini kusikiliza kipindi cha njia panda hii leo kilichokuwa kikiongozwa na Dr. Isaac Maro na kusikiliza kisa na mkasa uliomkuta msimuliaji aliyepachikwa jina la bandia 'Baraka' (Kwa ajili ya kulinda usalama wake), sasa zile pesa zilizokuwa zikiongelewa kuwa ni feki huu ni mfanowe.
Kisha Pesa hizo feki zilichanwa chanwa live ili kudhihirisha umma kuwa Njia panda na Clouds Fm haiungi mkono biashara haramu ya fedha bandia.
No comments:
Post a Comment