Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Bi Helen Clark kulia akiwa na madereva wa greda ambalo limetolewa na UNDP kwa mradi wa |
Afisa utalii ofisi ya utalii Nyanda za juu kusini Risara Kabongo akipita kando ya mtando wa kutengeneza barabara hifadhi ya Taifa ya Ruaha uliyotolewa na UNDP kwa mradi wa Spanest |
Mwandishi wa BBC nchini ABOUBAKARI FAMAU kushoto akichukua matukio nyeti wakati mkuu wa UNDP duniani akizungumza na askari wa hifadhi ya Taifa ya Ruaha |
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP )Bi Hellen Clark kulia akizungumza na askari wa hifadhi ya Taifa ya Ruaha Iringa |
Mwandishi maarufu wa ITV nchini Vedasto Msungu akichukua matukio |
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Hellen Clark kulia akizungumza na askari wanaopambana na majangili hifadhi ya Taifa ya Ruaha Iringa jana |
Mkuu wa UNDP Hellen Clark kulia akiwa na watendaji wa TANAPA akiwemo mratibuMratibu wa SPANEST Bw Godwell ole Meing'ataki wa pili kulia na mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi |
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP )Hellen Clark akiwa katika gari lililotolewa na UNDP |
Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Hellen Clark akiwa na mkurugenzi mkuu wa TANAPA Allan Kijazi kushoto kando ni gari lililotolewa msaada wa UNDP |
Wahudumu wa Hotel ya kisasa ya Ruaha |
Ndege iliyotumiwa na watendaji wa UNDP |
Mkuu wa UNDP duniani Helen Clark kulia akiagana na watumishi wa hifadhi ya Taifa ya Ruaha leo asubuhi |
Mwanahabari wa Chanel Ten Iringa Clement Sanga akiwa kando ya ndege ya Mkuu wa shirika la mpango la Maendeleo la umoja wa Mataifa (UNDP ) Bi Hellen Clark |
mwandishi wa BBC Tanzania Aboubakari Famau akiwapiga picha simba katika hifadhi ya taifa ya Ruaha mkoani Iringa wakati wa ziara ya mkuu wa UNDP duniani Helen Clark alipotembelea hifadhi hiyo jana |
mwandishi wa BBC Tanzania Aboubakari Famau akiwapiga picha simba katika hifadhi ya taifa ya Ruaha mkoani Iringa wakati wa ziara ya mkuu wa UNDP duniani Helen Clark alipotembelea hifadhi hiyo jana |
Mambo akiwa langoni mwa hifadhi ya Ruaha mkoani Iringa Picha na Francis Godwin. |
No comments:
Post a Comment