Wafanyakazi
wa magazeti ya serikali wa Tanzania Standard Newspapers ltd. (TSN)
wachapishaji wa Daily News, Habari Leo na Sunday News wakipita kwa
bashasha mbele ya mgeni rasmi karika sherehe za Mei Mosi mwaka huu
katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam wakiwa na mabango na
magazeti yao mkononi.
TSN Oyeeeeeee.......
Nelly Mtema naye anapiga jalamba
Shadrack Sagati nini tenaaaaa....??
Mama Ichikaeli Maro anaongoza mashambulizi hapa....
Bwawa la maini ndani......
Nas Kilyinga anawaarifu jamaa kwa simu jinsi TSN ilivyofunika
Woman Magazine Oyeeeeeeeee..................
Wazee wa kazi kina Zindonga na Wanchope hawakuwa nyuma
Daily News Safiiiii..........
Habari Leo oyeeeeeee....
Wafanyakazi wa TSN wakiwa wenye furaha kuashiria mambo ni mswani kazini kwao
Kikosi kazi cha TSN
TSN Oyeeeeeee.....
Mzee mzima Michael Mbiro akiwa na vijana wake
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakiwapungia wana TSN wakati
wanapita mbele yao. Rais ndiye Editor-in-Chief (Mhariri Kiongozi) wa
magazeti ya serikali
No comments:
Post a Comment