Monday, July 28, 2014

AnabamBam" kazi ya Tatoo Proffesional "Tippin" aka Tippin South

Kazi nyingine toka "Shida Mpya Vol 1" ambayo ni Noizmekah studio mixtape ya mchanganyiko wa wasanii mbalimbali Tanzania, Hii inakwenda kwa Jina AnabamBam" kazi ya Tatoo Proffesional "Tippin" aka Tippin South ambaye ni Afropop Artist toka Njiro Arusha akimshirikisha Producer Dx aka DefXtro, sikiliza Kazi HAPA https://mkito.com/song/anabambam-tippinsouth-ft-defxtro/1855 na kwa mawasiliano/Mahojiano check na Tippin kupitia +255 658 101 416 powered by www.vmgafrica.com
--
TippinSouth ft Defxtro-Anabambam (NOIZ) http://goo.gl/GKNxWJ

--Inline image 1

No comments:

Post a Comment