Tasnia
ya Habari nchini Tanzania imepata pigo kufutia kifo cha Mwanahabari wa
TBC kanda ya Kati Dodoma, Samuel Chamlomo (pichani) aliyefariki baada ya
kuugua ghafla wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi Bungeni mjini
Dodoma jana.
Chamlomo alifariki muda mfupi baada ya kuugua ghafla akiwa kazini.
Samuel
Chamlomo enzi za uhai wake akiwa katika sare ya kimichezo wakati wa
bonanza la kufunga kwama 2014 na kuukaribisha mwaka 2015 mjini Dodoma.
G SAMBWETI blog , inaungana na Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na
Wafanyakazi wote wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) katika kipindi
hiki kigumu cha majonzi ya kumpoteza ndugu yetu.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.
No comments:
Post a Comment