Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Sameer Hirji akimuonyesha
mashine ya POS ya Selcom Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa
(NHC), Nehemiah Mchechu. Mashine hizo zitatumika katika ulipaji wa kodi
za majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Sameer Hirji akielezea kwa
waandishi wa habari jinsi huduma ya ulipaji kodi kwa njia ya Simu na
akaunti za Benki inavyofanya kazi.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Sameer Hirji akimuonyesha
risiti za malipo ya pango za nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa kwa
waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa malipo kwa njia ya
mtandao wa Selcom.
No comments:
Post a Comment