Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa vyombo vya habari uliofanywa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba (Mb) kuhusu mwenendo wa zoezi linaloendelea la usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa umma, uliofanyika mjijni Dodoma katika Ukumbi wa Kambarage uliopo hazina ndogo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba (Mb) akizungumza na vyombo vya habari kuhusu mwenendo wa zoezi linaloendelea la usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa umma nchini wakati wa mkutano na vyombo hivyo uliofanyika mjijni Dodoma katika Ukumbi wa Kambarage wa hazina ndogo. Wa pili kutoka kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza kwa makini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba (Mb) akitoa ufafanuzi kuhusu mwenendo wa zoezi linaloendelea la usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa umma nchini wakati wa mkutano na vyombo vya habari uliofanyika mjijni Dodoma katika Ukumbi wa Kambarage hazina ndogo. Wa pili kutoka kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza kwa makini.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na vyombo vya habari kuhusu mwenendo wa zoezi linaloendelea la usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa umma nchini wakati wa mkutano na vyombo hivyo uliofanyika mjijni Dodoma katika Ukumbi wa Kambarage hazina ndogo. Wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhe. Mwigulu Nchemba (Mb) akimsikiliza kwa makini.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akitoa ufafanuzi kuhusu mwenendo wa zoezi linaloendelea la usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa umma nchini wakati wa mkutano na vyombo vya habari uliofanyika mjijni Dodoma katika Ukumbi wa Kambarage hazina ndogo. Wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhe. Mwigulu Nchemba (Mb) akimsikiliza kwa makini.
No comments:
Post a Comment