Saturday, January 7, 2017

WAFAHAMU WALIONYAKUA TUZO MZA WACHEZAJI AFRIKA


               
(1)Mchezaji bora wa mwaka wa Afrika  Riyad MAHREZ (Algeria & Leicester City). nafasi ya pili ni Pierre-Emerick AUBAMEYANG (Gabon & Borussia Dortmund),na Sadio MANE (Senegal & Liverpool) anashika nafasi ya tatu.

(2)Mchezaji bora wa mwaka wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza barani Afrika ni Denis ONYANGO (Uganda & Mamelodi Sundowns).

(3)Mchezaji bora wa mwaka wa Afrika upande wa wanawake ni Asisat OSHOALA (Nigeria & Arsenal Ladies)
(4)Mchezaji bora kijana  anayechipukia.Kelechi IHEANACHO (Nigeria & Manchester City)
(5)Mchezaji bora kijana Alex IWOBI (Nigeria na Arsenal)
(6)Kocha bora wa mwaka Pitso MOSIMANE (Mamelodi Sundowns)
(7)Club bora ya mwaka ni Mamelodi Sundowns.
(8)Timu bora ya taifa ni Uganda
 (9)Timu bora ya taifa upande wa wanawake ni Nigeria
(10)Mwamuzi bora wa mwaka ni Bakary Papa GASSAMA (Gambia)  
(11)Kiongozi bora wa mpira ni Manuel LOPES NASCIMENTO, Raisi wa shirikisho la mpira la Guinea Bissau
(12)Tuzo za heshima kwa magwiji wa zamani zimekwnda kwa
Laurent POKOU -mchezaji wa zamani wa  Cote d’Ivoire na Emilienne MBANGO - mchezaji wa zamani wa Cameroon.
(13)Tuzo ya Platinum imekwenda kwa
Mheshimiwa  Muhammadu Buhari, Raisi  wa  Nigeria



(14)Kikosi cha kwanza cha mwaka cha Afrika.

Golikipa:
 Denis ONYANGO (Uganda & Mamelodi Sundowns)

Walinzi: 
Serge AURIER (Cote d’Ivoire & Paris Saint-Germain), Aymen ABDENNOUR (Tunisia & Valencia), Eric BAILLY (Cote d’Ivoire & Manchester United), Joyce LOMALISA (DR Congo & AS Vita)

Viungo: 
Khama BILLIAT (Zimbabwe & Mamelodi Sundowns), Rainford KALABA (Zambia & TP Mazembe), Keegan DOLLY (South Africa & Mamelodi Sundowns),

Washambuliaji:
 Pierre-Emerick AUBAMEYANG (Gabon & Borussia Dortmund), Sadio MANE (Senegal & Liverpool), Riyad MAHREZ (Algeria & Leicester City)

Wachezaji wa akiba
Aymen MATHLOUTHI (Tunisia & Etoile du Sahel), Kalidou KOULIBALY (Senegal & Napoli), Salif COULIBALY (Mali & TP Mazembe), Islam SLIMANI (Algeria & Leicester City), Mohamed Salah (Egypt & Roma), Kelechi IHEANACHO (Nigeria & Manchester City), Alex IWOBI (Nigeria na Arsenal)

KIJANA WA KITANZANIA DENNIS MHINA ASHIKA NAFASI YA NNE KWA UBORA DUNIANI MASHINDANO YA KUOGELEA CANADA



Mchezaji wa timu ya Taifa ya kuogelea,Dennis Khamis Mhina akipokea shada la maua kutoka kwa baba yake mzazi mzee Khamis Hussein Mhina wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere leo alasili akitokea nchini Canada ambako alishinda na kushika nafasi ya nne katika mashindano ya vijana ya Dunia ya kuogelea yaliyofanyika nchini humo hivi karibuni.
Mchezaji wa timu ya taifa ya kuogelea ya vijana Kijana Dennis Khamis Mhina akipokewa na ndugu jamaa na marafiki wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere leo alasili akitokea nchini Canada ambako alishinda na kushika nafasi ya nne katika mashindano ya vijana ya dunia ya kuogelea yaliyofanyika nchini humo hivi karibuni.
Mchezaji wa timu ya taifa ya vijana ya kuogelea Kijana Dennis Khamis Mhina akitoka nje na mama yake mzazi Bhoke Mukoji Mhina kulia wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa
 Kimataifa wa JK Nyerere leo arasili akitokea nchini Canada ambako alishinda na kushika nafasi ya nne katika mashindano ya vijana ya dunia ya kuogelea yaliyofanyika nchini humo hivi karibuni.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Kuogelea nchini, Ramadhan Namkoveka akizungumza wakati walipompokea mchezaji wa timu ya taifa ya vijana ya kuogelea Kijana Dennis Khamis Mhina wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa 
Kimataifa wa JK Nyerere leo alasili akitokea nchini Canada ambako alishinda na kushika nafasi ya nne katika mashindano ya vijana ya dunia yaliyofanyika nchini humo hivi karibuni, Kulia ni mama mzazi wa kijana Dennis Mhina Bi Bhoke Mukoji Mhina.
Mchezaji wa timu ya taifa ya vijana ya kuogelea Mchezaji wa timu ya taifa ya vijana ya kuogelea Kijana Dennis Khamis Mhina akizungumza mara baada ya kuwasili nchini kwenye uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa JK Nyerere leo alasili akitokea nchini Canada ambako alishinda na kushika nafasi ya nne katika mashindano ya vijana ya dunia yaliyofanyika nchini humo hivi karibuni kulia ni mama mzazi Dennis Mhina Bi. Bhoke Mukoji Mhina, kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Kuogelea nchini, Ramadhan Namkoveka na baba yake Khamis Hussein Mhina
Mama mzazi Dennis Mhina Bi. Bhoke Mukoji Mhina akizungumza kwenye uwanja wa Ndege wa 
Kimataifa wa JK Nyerere, kulia ni Dennis Mhina na kushoto ni Baba yake Bw. Khamis Hussein Mhina.
Baba yake Dennis Mhina Bw. Khamis Hussein Mhina akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa ndege wa 
Kimataifa wa JK Nyerere,kulia ni Bi. Bhoke Mukoji Mhina Mama wa Dennis Mhina aliyesimama katikati.

No comments:

Post a Comment