Mratibu
wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japani (JICA) Bw. Owa Ichiro
akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu, Bi.
Roxana Kijazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi (hayupo pichani) wakati wa hafla
fupi ya kuwakaribisha Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja
kutoa huduma nchini, iliyofanyika katika Ukumbi mdogo wa Ofisi ya
Rais-Utumishi leo. (Picha zote na Ofisi ya Utumishi wa Umma)
Mkurugenzi
wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi.
Roxana Kijazi akizungumza na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani
waliokuja kutoa huduma nchini wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha
Wataalam hao iliyofanyika katika Ukumbi mdogo wa Ofisi ya Rais-Utumishi
leo. Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Roxana Kijazi akipokea kalenda ya JICA ya mwaka 2017 toka kwa Mratibu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japani (JICA) Bw. Owa Ichiro wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini, iliyofanyika katika Ukumbi mdogo wa Ofisi ya Rais-Utumishi leo.
Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Roxana Kijazi akipewa maelezo kuhusu kalenda ya JICA ya mwaka 2017 toka kwa Mratibu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japani (JICA) Bw. Owa Ichiro wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini, iliyofanyika katika Ukumbi mdogo wa Ofisi ya Rais-Utumishi.
Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji wa Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Roxana Kijazi akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini mara baada ya hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao, iliyofanyika katika Ukumbi mdogo wa Ofisi ya Rais-Utumishi leo.
No comments:
Post a Comment