Katika hali ya kuonyesha kuwa raia wanabadilika na kuelemika kutokana na vipindi pamoja na semina mbali mbali zinazotolewa na jeshi la usalama bara barabarani ,tayari jijini Dar es salaam baadhi ya wananchi wameju ahaki zao na kuacha kunyanyaswa na makondakta wa dala dala.
ilikuwa ni majira ya saa tatu usiku ambapo dala dala moja linalo fanya safari zake kati ya Masaki na Ubongo walionesha msimamo wao mara baada ya kondakta na dereva wao kuwataka kwa lazima kushuka kwenye dala dala na kupanda dala dala nyingine.
Abiria hao walionyesha jazba yao huku wakiwa na machungu ya kupanda kwa bei ya nauli ambapo nauli ya Ubungo Masaki ni tsh 400 badala ya Tsh 300 bei ya hapo awali , mwanzo kondakta alitumia lugha ngumu kuwaamirisha abiri kushuka lakini abiria hao walikuwa wamebaki 12 ndani ya daladali likiwa maeneo ya ubungo mkoa karibu karisa na eneo la mataa maarufu kama ubung mataa walikataa katu katu kushuku.
Mara baada ya abiria hao kuonesha msimamo wao huo , derava wa dala dala hiyo T 332 ASP alitoa maneno machafu kwa abiri kwa kuaambia ''SURA ZENU NGUMU NDIO MANA HAMTAKI KUSHUKA''
kutokana na msimamo huo dereva aliamua kuendesha gari hadi kituo cha dala dala Ubungo ambapo aliwaamuru kwa hasira abiria kushuka na bila ugomvi abiria walishuka na kuendelea na safari zao.
HAKIKA TUKIAMUA INAWEZEKANA ''UTII WA SHERIA BILA SHURUTI''

No comments:
Post a Comment