Taarifa zinasema Dr Mvungi amefariki dunia, hospitalini nchini Afrika Kusini muda mfupi uliopita na taarifa kutumwa nyumbani Tanzania ambapo wafanyakazi wenzake ofisi ya tume ya mabadiliko ya katiba wameambiwa wakae karibu na simu zao ili kikitokea chochote kingine wafahamishwe.
Tayari viongozi mbalimbali kama Mh. Warioba, Katibu wa tume, naibu na watumishi wengine wachache wamekwenda nyumbani kwa marehemu.
Hizi picha hapa chini ni za Wafanyakazi wenzake baada ya kupata taarifa za msiba ofisini.
No comments:
Post a Comment