Monday, February 3, 2014

Askari Polisi waliofariki kwa ajali ya gari, waagwa mkoani Dodoma tayari kwa mazishi

Miili ya Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari ya kugongana uso kwa uso na basi la Mohamed Trans.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi David Misime, akizungumza kwa Masikitiko wakati wa kuaga miili ya Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi David Misime, akiongoza waombolezaji kuaga miili ya Askari Polisi hao, waliofariki katika ajali ya gari juzi.
Waombolezaji wakiiaga miili hiyo.
Miili ya Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari ikiwa imebebwa.

No comments:

Post a Comment