Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono
baadhi ya Wananchi (hawapo pichani),walioshirikia matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto,kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya mapema leo asubuhi,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.Kushoto kati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki,Mh.Godfrey Zambi,Katibu Mkuu wa chama hicho,ndugu Kinana pamoja na Katibu wa Uchumi na Fedha,Bi Zakia Meghji wakishiriki matembezii hayo yaliyofana kwa kiasi kikubwa jijini humo.Rais Kikwete ambaye ndiye mgeni rasmi wa sherehe hizo atahutubia leo mchana kwenye maadhimisho ya sherehe hizo zitakazofanyika katika uwanja wa Sokoine mkoani humo.

Rais Kikwete
akiongoza matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto akiwa
sambamba na baadhi ya watoto,kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya
uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya,ikiwa ni sehemu ya kilele
cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha
CCM.Kushoto kati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mbeya ambaye pia ni
Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki,Mh.Godfrey Zambi,Katibu Mkuu wa chama
hicho,ndugu Kinana pamoja na Katibu wa Uchumi na Fedha,Bi Zakia Meghji
wakishiriki matembezii hayo yaliyofana kwa kiasi kikubwa jijini humo.
Baadhi ya vijana wakereketwa na chama cha CCM wakiwa na mabango yao.
Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete (pilia kulia) akiwa
tayari kuongoza wanachana na Wananchi (hawapo pichani) kushiriki
matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya
Soweto,kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya mapema leo asubuhi,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM,Bwa.Phillip Mangula,wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki,Mh.Godfrey Zambi,Katibu Mkuu wa chama hicho,ndugu Kinana pamoja na Katibu wa Uchumi na Fedha,Bi Zakia Meghji pamoja na Waziri Ofisi ya Rais asiye na Wizara maalum,Prof Mark Mwandosya wakiwa tayai kuyaanza matembezi hayo.

akizungumza na baadhi ya watoto waliokuwa miongoni mwa
watoto waliojitokeza kushiriki matembezi ya mshikamano yaliyoanzia
viwanja vya Soweto mapema leo asubuhi kuelekea kwenye bustani iliyopo
nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya,ikiwa ni sehemu ya
kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha
CCM.
Baadhi ya
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakishiriki kuchukua
matukio yaliyokuwa yakijiri kwenye matembezi ya mshikamano yaliyoanzia
viwanja vya Soweto mapema leo asubuhi kuelekea kwenye bustani iliyopo
nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya,ikiwa ni sehemu ya
kilele
cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.
cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete akipokelewa na viongozi wa chama hicho ngazi za juu,pichani akisalimiana na Katibu Mkuu wa chama hicho,ndugu Kinana na anaeshuhudia pichani kati ni Makamu Mwenyekiti wa CCM,Mh.Phillip Mangula,tayari kwa kuongoza matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto,kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.
Baadhi
ya Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja
kabla ya kuanza kwa matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya
Soweto mapema leo asubuhi kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya uwanja
wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya,ikiwa ni sehemu ya kilele cha
maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akifurahi jambo na Waziri Ofisi ya Rais asiye na Wizara maalum,Prof Mark Mwandosya
Ndugu Kinana akizunguza jambo na Mwigulu Nchemba kabla ya kuanza matembezi ya mshikamano.
Msafara wa Rais ukiwasili sehemu ya kuanza matembezi ya mshikamano.
Mambo ya matembezi ya mshikamani yakiwa yameiva
Rais Kikwete pia aliungana na Watoto katika matembezi hayo.
Mwenyekiti wa CCM,Rais Kikwete akiwasili kwenye bustani za uwanja wa Sokoine kufikia kilele cha matembezi ya mshikamano
Sehemu
ya Wananchi na wakereketwa wanachama mbalimbali wa wa CC Mwakiwa
wamekusanyika kwa pamoja tayari kumsikiliza Rais Kikwete mara baada ya
kumaliza matembezi hayo yalifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Baada
ya kumaliza matembezi ya mshikamano viongozi wa juu wa CCM,wakisiliza
utaratibu wa kuadhimisha sherehe za miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama
hicho.
Rais
Kikwete akizungumza machache mara baada ya kumaliza matembezi ya
mshikamano,Rais Kikwete atakuwa mgeni rasmi kwenye sherehe hizo
zitakazoanza mapema leo mchana ndani ya uwanja wa Sokoine,jijin Mbeya.
No comments:
Post a Comment