Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Rachel Kassanda katikati
akizungumza na mmiliki wa duka la kisasa la kuuza nguo katika kijijicha
Ikwiriri Rufiji baada ya mwenge huo kufungua duka hilo, annayepiga
makofi nyuma ya Kassanda ni Annan Afif Mkurugenzi Msaidizi wa kampuni
ya Afif. (Picha zote na Omary Said) Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda akizungumza wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha kisasa cha kusindikia mhogo kilichopo katika Kijiji cha Bungu Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani mara baada ya kutembelea kiwandahicho juzi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Jamii wa kiwanda hicho, Deonatus Malegesi na kuliaMkuu wa wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu.

No comments:
Post a Comment