Mwanataalum
mkonge Profesa Goran Hyden akijibu hojana maswali mbalimbali yalitolewa
na wahadhiri na wanataalum mbalimbali kutokandani na nje ya Tanzania
jana mjini Dar es salaam wakati wa kongamano la sikumoja la wanataalum
liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam lakutambua mchango
wake kitaalum.
Waziri
Mkuu Mstaafu wa Uganda Profesa Apolo Nsibambi(kulia)akichangia mada
jana mjini Dar es saam wakati wa kongamano la siku moja lawanataalum
liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam la kutambuamchango
wa Profesa Goran Hyden alioutoandani na nje Tanzania. Wengine ni Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti yaUtumishi wa Umma George
Yambesi(katikati) na Profesa Goran Hyden(kushoto)
Makamu
wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukanda
(kulia) akibadilishanamawazo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uganda Profesa
Apolo Nsibambi (katikati) na Balozi wa Zambia nchini Judith Kangoma(
kushoto) jana mjini Dar es salaam wakatiwa kongamano la siku moja la
wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dar es salaam la
kutambua mchango wa Profesa Goran Hyden alioutoa ndani na nje Tanzania
Mmoja wa watoa mada akiendelea
Mwapachu-
Katibu Mkuu zamani wa Jumuiya ya AfrikaMashariki Balozi Juma Mwapachu
akichangia mada jana mjini Dar es saam wakati wakongamano la siku moja
la wanataalum liloandaliwa maalum na Chuo Kikuu cha Dares salaam la
kutambua mchango wa Profesa Goran Hyden alioutoa ndani na nje
Tanzania.Kuliani Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa
Rwekaza Mukanda.
No comments:
Post a Comment